Nafasi Ya Matangazo

BILL GATES IS BACK AS THE WORLD`S RICHEST MAN

May 19, 2013 Category : 0


 

bill-gates
Bill Gates has reclaimed his throne again as the richest man in the world! Latest reports from Bloomberg Billionaires Index that daily lists the world’s richest, claimed so. Guess Carlos Slim, topper on Forbes Billionaire List 2013 would be quite unhappy after having heard this piece because his fortune has seen a fall through of about $3 billion. This is owing to a bill passed by the Mexico Congress that has led Slim to loosen his grip over America Movil SAB, the largest mobile operator in the Americas.
bill-gates-and-carlos-slim-600x432
However Bill Gates, the runner up on the Forbes Billionaires List 2013 has happily climbed up to the top-most position with a recent net worth of $72.7 billion. The credit to this goes to a big-enough increase of 28% in Microsoft’s shares, though Windows 8 hasn’t fared as predicted.
Seems like Gates has impressed ‘Mother of Good Fortune’ with his philanthropic work through the Bill & Melinda Gates Foundation.
It’s after six long years that Gates has resumed his mark as the richest man.

RAIS KIKWETE; UDINI UNAOIBUKA UNA MKONO WA NJE

Category : 0


Dodoma. Rais Jakaya Kikwete amebainisha kuwa vurugu za kidini na kisiasa zinazotokea nchini, zina uhusiano na watu wa nchi za nje.

Alitoa kauli hiyo jana kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mkuu wa Sitta wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya.
Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu.
“Wanaohamasisha vurugu hizo ni watu wenye uhusiano ya karibu na watu wa nje ambao mambo yakiharibika nchini watakuwa wa kwanza kupanda ndege, ilhali wakiendelea kutoa matamko ya uchochezi wakiwa nje ya nchi wakati wengine wakiendelea kuumia,” alisema Kikwete.
Ibada hiyo ilifanyika chini ya ulinzi wa polisi na askari wa usalama, na ilihudhuriwa na Askofu Mkuu wa Anglikana duniani, Justin Welby.
Rais Kikwete alisema amekuwa akichukizwa na vurugu za kidini zinazofanywa na baadhi ya watu wasioitakia mema Tanzania, huku wakijua kuwa amani ikitoweka ni gharama kubwa kuipata.
“Halafu lazima watu wajue kuwa nchi hii ni yetu sote, kama ni kubanana lazima tubanane humuhumu, lakini kwa idadi ya wingi wa watu isiwe mbanano wa mapanga,” aliongeza Rais Kikwete.
Rais Kikwete alisema vurugu zinazotokea zinafanywa na watu wachache ambao hawana mamlaka katika taasisi za kidini, na aliwataka viongozi wa dini zote kukemea vurugu, kuihubiri amani na kuwakumbusha waumini wao kuipenda nchi yao.
Alirudia kauli yake kuwa Serikali haitawavumilia watu wanaoendelea kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha masuala ya dini.

DK. SHEIN AZINDUA TAWI LA CHUO CHA MWALIMU NYERERE ZANZIBAR

Category : 0



01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizindua rasmi Tawi la Chuo cha Mwalim Nyerere lililopo Bububu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
02
Mkuu wa Chuo cha Mwalim Nyerere John Magotti akimuonyesha moja ya madarasa ya Chuo hicho, Rais wa Zanzibar Dr. Ali Muhamed Shein mara baada ya uzinduzi huo.
03
Mwalimu pekee wa I .T. Chuoni hapo Julius akimfahamisha Rais wa  wa Zanzibar Dr. Ali Muhamed Shein jinsi anavyokabiliana na majukumu yake ya kila siku Chuoni hapo.
04
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mwalim Nyerere Salim Ahmed Salim akitoa nasaha kwa wanafunzi wa Chuo hicho.
05
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed shein akiwahutubia wanafunzi na walimu, wakati wa uzinduzi wa Tawi la Chuo cha Mwalim Nyerere Bububu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

TANZANIA YATAJWA KUWA HATARI KWA UJANGILI

Category : 0


Tembo wakijitafutia chakula katika moja ya mbuga za wanyanya zilizopo nchini Tanzania
Dar es Salaam. Kushamiri kwa vitendo vya ujangili nchini kumeifanya Tanzania kutajwa kuwa moja kati ya nchi nane zinazoongoza katika biashara haramu ya pembe za ndovu huku pia nchi za Kenya na Uganda zikitajwa.
Katika mkutano wa Kimataifa wa Biashara kwa Viumbe Vilivyopo Hatarini Kutoweka (CITES) uliofanyika Bangkok, Thailand, mwezi Machi mwaka huu, Tanzania ilitajwa kuwa ni miongoni mwa nchi nane zilizo mstari wa mbele katika biashara ya pembe za ndovu.
Nchi hizo ambazo zinatambuliwa kama kundi la wanane ‘gang of eight’ ni pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda, ambazo zimewekwa katika kundi la nchi zinazozalisha pembe hizo. Nchi zilizowekwa katika kundi la wanunuzi ni China na Thailand, Malaysia, Vietnam na Ufilipino.
Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Alexander Songorwa amethibitisha kupelekwa kwa ripoti hiyo, lakini akakataa kuyataja mapendekezo yaliyomo kwenye ripoti kwa madai kuwa hawezi kuzungumzia masuala hayo kwenye simu na kumtaka mwandishi kwenda ofisini kwake Jumatatu.
“Ni kweli tumepeleka ripoti hiyo CITES, lakini siwezi kuizungumzia, zaidi nakuomba uje ofisini kwangu siku ya Jumatatu nitakufafanulia,” alisema Songorwa.
Alipopigiwa simu Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki alimtaka mwandishi kumpigia baada ya saa moja, lakini alipopigiwa tena simu yake ya mkononi haikupokewa.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na CITES kupitia mtandao wake mwishoni mwa wiki, inaitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi nane zilizowasilisha ripoti inayoeleza namna itakavyotokomeza biashara ya pembe za ndovu.
Awali kamati ya CITES ilikuwa imeweka Machi 15, mwaka huu kuwa ni siku ya mwisho kwa nchi hizo kuwasilisha mipango yake.
Nchi nyingine zilizowasilisha mpango kazi ni pamoja na Uganda, Kenya, Vietnam, China, Singapore, Malaysia, Ufilipino na Thailand.
Katibu Mkuu wa CITES, John Scanlon alisema ripoti ya kila nchi itapelekwa katika kamati maalum ambayo itafuatilia mapendekezo yaliyotolewa kwa kuyafanyia kazi ikishirikiana na nchi husika.
“Itakapofika Julai 2014, Sekretarieti itatoa tathmini ya mapendekezo yaliyotolewa na kila nchi na namna yalivyotekelezwa,” alisema Scanlon.

MWINGILU NCHEMBA; TUPE KAULI YAKO BAADA YA MAHAKAMA KUMFUTIA RWAKATALE KESI YA UGAIDI

May 18, 2013 Category : 1

Heshima kwenu wanajamvi...
karibia wiki mbili sasa baada ya mahakama kuu kumfutia Lwakatale kesi ya ugaidi. Naamini mwigulu au alikuwa hayuko nchini au ndio kipindi hicho alikuwa anaondoka kwenda China. Tangu maamuzi hayo yatolewe na mahakama hatujasikia kauli ya mwigulu Nchemba iwapo atamshawishi DPP akate rufaa au mikanda aliyonayo inao ushahidi zaidi wa kuishawishi mahakama ione hatia ya ugaidi kwa Lwakale. 
Hebu ajongee hapa atoe kauli yake...

UFARANSA YAKUBALI NDOA YA JINSIA MOJA;

Category : 0



Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ametia saini sheria yenye utatanishi, inayohalalisha ndoa kati ya watu wa jinsia moja.
Ndoa ya jinsia moja

Makundi ya watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja nchini Ufaransa yamefurahi kuwa hatimaye sheria hiyo imepitishwa.
Ufaransa sasa imekuwa nchi ya 14 duniani kuruhusu ndoa kama hizo.
Wanasema kuna marafiki kadha wanaosubiri kufunga ndoa na maelfu ya watoto wanaolelewa na watu wa jinsia moja ambao sasa watapata hifadhi kisheria.
Wanaopinga sheria hiyo wamehamaki.
Wanaona kuwa Rais Hollande ameshughulika mno na ndoa kati ya jinsia moja kwa sababu ameshindwa katika maswala muhimu zaidi - kama swala la uchumi wa nchi.
Maandamano mengine ya kupinga ndoa kati ya jinsia moja yanapangwa kufanywa tarehe 26 May.
Yanaweza kuwa makubwa na ya fujo kama yaliyopita.
Sababu ni upinzani dhidi ya ndoa za jinsia moja umechanganyika na malalamiko mengine ya mrengo wa kulia dhidi ya serikali.
Na hali nchini sasa ni tete.
Lakini kwa kweli vita vimemalizika.
Watu wa jinsia moja sasa wataanza kufunga ndoa nchini Ufaransa.
Baadhi ya wanasiasa wa mrengo wa kulia wataahidi kuwa watabatilisha sheria hiyo wakipata madaraka, lakini historia inaonesha kuwa kufuta mabadiliko kama haya katika jamii ni shida sana.

KANISA LA TAG LACHOMWA MOTO MJINI TANGA

Category : 2

Kanisa la TAG mjini Tanga limechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo tarehe 18/5 na kuteketea kabisa. Pamoja na kanisa hilo kituo cha mafunzo ya watoto wadogo kilichokuwa jirani na kanisa nacho pia kimeteketezwa kwa moto. Pamoja na kwamba majirani wanatoa ushuhuda kwamba waliwasikia kikundi cha watu eneo hilo, mpaka sasa hakuna mtu aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Source: star Tv

WOMEN 10 BIGGEST WORRIES ABOUT SEX

Category : 0


We stress over our jobs, our relationships, our finances and our friendships -- and unfortunately, even our bedrooms can become a breeding ground for anxiety. Séx may be touted as one of the most effective (and pleasurable) forms of stress relief, but it can also be a major source of insecurity for women.

Performance anxiety isn't limited to men, and if your séx life isn't as mind-blowing as it could be, it's possible that your own worries are getting in the way.
Body image issues, orgásm obstacles and STD woes are just a few of the concerns that can keep women from letting go and enjoying their time between the sheets. If you suspect that your anxiety about séx might be preventing you from optimizing your pleasure, it might be worth taking a look at some of your own séxual insecurities. Scroll through the list below for 10 common worries about séx -- and why they're not worth the stress.
1. I can't orgásm from intercourse.
The inability to climax is arguably the most universal female séxual problem: Recent studies have suggested that roughly 75 percent of women can't orgásm through penetrative séx, and 10 to 15 percent can't orgásm under any circumstances. And in fact, until recently, the sheer existence of the váginal orgásm was questioned.
If you're one of the 25 percent of women who consistently orgásm during intercourse, congratulations! But if orgásms elude you, bear in mind that the inability to climax makes you normal, not abnormal, and it doesn't mean that you can't still enjoy a fulfilling séx life. Experiment with other ways of achieving orgásm, and make sure you have a partner who's willing to try a whole range of techniques to give you pleasure.
2. I don't look good náked.
Body image isn't solely a self-esteem issue: It can also significantly impact your séx life. According to psychologist Dr. Jennifer Hartstein, 61 percent of women are thinking about what their bodies look like during séx, and a 2011 Fitness Magazine study found that 51 percent of women would give up séx for a year to be skinny.
Needless to say, feeling unattractive (and trying to avoid positions that you fear may be unflattering) tends to kill the mood. So instead of forcing yourself to have séx when you're not feeling up for it, try to do something that does make you feel séxy, whether that's a night out with friends, taking a yoga class or treating yourself to a deep-tissue massage. Giving yourself pleasure can also be a great way to boost your body confidence.
A good partner will be willing to wait until you're in the mood, so don't push yourself if you'd rather curl up with a movie than hop into bed. When you are ready to have séx again, focus on the sensations -- and remind yourself that you, like anyone else, deserve pleasure. And consider this: While you're worrying about all the things you think are wrong with your body, your partner is probably appreciating everything he or she loves about it.
3. I don't have a "normal" vágina.
Like negative body image, worry that your ladyparts are unattractive can seriously undermine your séxual confidence, and it's led many women to undergo surgical procedures to attain a more "desirable" vágina. The porn industry in particular has been instrumental in changing cultural conceptions of what a vágina "should" look like in order for it to be séxually appealing. (Heaven forbid any part of the female body escape evaluation by today's often unrealistice beauty standards.)
This anxiety about váginal appearance was the inspiration behind the recent Large Labia Project, a Tumblr that encourages women to celebrate the beauty of their vulvas by submitting "vágina selfies." Collectively, the photos deliver a message we all need to hear: Whether you're shaven or unshaven, have large labia or small, there's nothing wrong with your vágina. Try to appreciate it as much as your partner(s) already do(es).
4. I'm bad at séx.
Let's face it: Mediocre séx is no fun for anyone involved. But before you start berating yourself for your lack of séxual prowess, bear in mind that good séx has more to do with how committed two people are to giving each other pleasure than how advanced their moves are.
There are a lot of factors that go into creating a less-than-steamy séx session, so if you're feeling unsatisfied, consider the other conditions that may be putting a damper on your séx life. Sub-par séx could be the result of feeling uncomfortable with your partner, or it could be that you're still learning what really turns you on. With the right person and a little experimenting, you can have stellar séx -- it's just a matter of build up your confidence (see #2) and comfort level with your partner. And of course, as with anything else in life, practice makes perfect.
5. Séx with my partner will eventually get boring/routine.
Contrary to popular belief, married couples actually report having more regular séx and higher levels of séxual satisfaction than those who are single or in unmarried relationships. As many married couples can tell you, séx within a committed relationship doesn't have to be monotonous -- in fact, it can be the best kind of séx. There's a high level of comfort and intimacy, not to mention that your partner knows what you want and exactly how to give it to you.
Women's levels of desire have been shown to gradually decrease over time in committed relationships. If your séx routine is getting a little stale, experts recommend talking openly to your partner about your séxual needs and trying new things (role play? séx toys?) to turn the heat back up.
6. My séx drive is too low.
If you're suffering from a lack of desire, you're not alone: A 2008 survey of over 30,000 women found that increasing numbers of women report séxual problems, including 10 percent of women ages 18 to 44 who reported low séxual desire.
What you need to know is that it's not your fault: Low séx drive could be the result of certain forms of birth control, lack of sleep or taking antidepressants. Stress, depression and relationship issues can also be the culprits, according to ABC News. If you're not sure what's dampening your desire, talk to your gynecologist -- the good news is that there are many ways to boost a low libido.
7. I've had too many (or not enough) séxual partners.

YANGA 2-0 SIMBA; HIVI NDIVYO LIGI KUU YA TANZANIA.ILIVYOMALIZIKA..

Category : 0

Nahodha wa Yanga, Nidir Haroub 'Canavaro' akiwa amenyanyua kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara pamoja na wachezaji wenzake. Yanga leo imeifunga Simba 2-0 

BIG BROTHER AFRICA SEASON 8 BRINGS VIEWERS THE CHASE

Category : 0


Untitled

The biggest reality show in Africa is back and AfricaMagic can reveal that season 8 of Big Brother Africa has been dramatically titled The Chase. 28 housemates from 14 countries will not only be chasing after the 300 000 USD cash prize but the chance of becoming a household name and perhaps even finding romance.  
Launching on Sunday 26 May, Big Brother The Chase will combine electrifying twists and big surprises that will require housemates to use their charm to get ahead, possibly leaving room for cupid’s arrow to connect two hearts or more.
Setting the tone, in line with theme, the new seasons logo showcases a glittering and slightly flirtatious feel with chic, edgy gold plated lines. The iconic Big Brother eye has an enchanting gold dust finish with a dazzling diamond centre, featuring a teasing hint of ruby red.
More good news is that the witty and entertaining IK Osakioduwa returns once again in 2013 to host The Chase. He has won many fans across the continent for his ability to speak openly with housemates and allow them to be at ease at their most vulnerable moments.
“Big Brother Africa is a pretty unique show. Every season has its own special moments and features. I’m super excited to be invited back to host the show. I have thoroughly enjoyed the past seasons and I look forward to bringing a fresh and energetic approach to The Chase,” says the popular TV and radio presenter.
Commenting on the new season M-Net Africa Managing Director Biola Alabi says, “Without revealing too much, I can say that AfricaMagic always strives to deliver the best in entertainment and Big Brother Africa remains at the forefront of our plans. We want to give audiences and loyal fans of the show, a truly unforgettable viewing experience once again. This season audiences can expect a show encompassing suspense, emotions, drama, fun, excitement and quite possibly, as we have seen in previous seasons, a little romance.
Having produced Big Brother Africa from season one, Endemol promises a sterling edition of The Chase, “Endemol is excited to present another season of Big Brother in Africa. Another vintage season lies in store with fresh new twists and surprises and ultimately great reality entertainment” adds Managing Director of Endemol South Africa Sivan Pillay.
With less than four weeks remaining to the big launch night, audiences can get the latest Big Brother Africa updates on www.bigbrotherafrica.com as well as on Facebook and Twitter.
For 91 days, Africa biggest reality series will be screened live 24/7 on DStv channels 197 and 198 while GOtv audiences will be able to see highlights. So stay tune…Biggie has returned and the fun is about to begin!

LINAH NA BARNABA HAWANA CHAO THT..?

May 17, 2013 Category : 1


 

Wasanii wa THT Linah na Barnaba wakitumbuiza katika moja ya matamasha.
Kuelekea shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi wa juu.
Kwa mujibu wa vyanzo kutoka kwa mtu wa karibu wa Linah kilieleza kuwa mpaka sasa msanii huyo hana raha na wala hajui ataanza vipi katika harakati zake za kimuziki hasa kufuatia hivi karibuni kukacha shoo ya nguli Lady Jay Dee kwa shinikizo kutoka kwa wakubwa zake.
Hata hivyo, Linah inadaiwa uongozi wa juu umekaa kikao na hatua iliyofuatia kwenye kikao hicho ni kuwaondoa kabisa kwani huenda wakatia doa wasanii wenzao ndani ya kundi hilo.
“Juzi Linha,haikuwa kawaida yake maana hata alipopigiwa simu na ** kwa ajili ya hatua zingine alionekana kuw na hofu, na wala hakutaka kusikia ushahuri wangu ambao nilikuwa nikimhusia kuwa aachane na mawazo hayo kwani jambo analoliwaza huenda likaisha na hata maamuzi yatakayotoka yatakuwa ni kawaida” kilieleza chanzo kutoka kwa mtu wakaribu wa Lina, amabaye hata hivyo alisema kuwa huenda ukweli wa jambo ukawa hadharani.
Hata hivyo taarifa za ndani za uongozi wa THT zilibainisha kuwa mpango wao wa kuwashughulikia wasanii hao upo pale pale na taratibu zinafuata ilizisilete madhara kwa wasanii waliopo ndani ya THT  na watu wa karibu wanaoiunga THT.
“Wewe nani kakwambia kama tumewaadhibu Lina na Barnaba?, ndio kwanza tunakusikia wewe hizo taarifa,  sisi tunafanya mambo yetu wao waache wafanye yao tukiwa nao sie na tunaouwezo wa kuwatimua ilikulinda hadhi ya THT” Kilieleza chanzo hicho ambacho hata hivyo kutokana na usalama wa jina lake tumelihifadhi. Ambapo namba yake inaishia na**08.
Aidha, katika ‘ku-balance’ huondo kamili wa habari hizi wasanii hao wote walipotafutwa kwenye simu zao za mkononi lakini hawakuweza kuwa hewani kwa muda mrefu.. na hata alipopigiwa mtu wao huyo wa karibu naye alizima simu.
Katika kile kinachoeleza kupamba moto shoo hiyo, na kujaa kwa taarifa mbalimbali juu ya wasanii watakaopamba shoo ya miaka 13, Mei 31 ndani ya Nyumbani Lounge, Tayari tiketi zimeanza kuuzwa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Saalam.
Shoo hiyo ya kijanja Nyumbani Lounge, patakuwa hapatoshi pale wadau wa burudani na wastaarabu wote watakapojumuika kwa pamoja ku-shoo love kwa Lady Jay Dee  na Machozi Band, huku listi ya mastaa mbalimbali wanatarajia kuudhuria sambamba na ‘surprise’ kutoka kwa mastaa hao ambao kwa sasa wengi wapo kimya wakihofia kutengwa na wazee wa ‘fitina bin Logiki’.
Awali kulikuwapo na taarifa za kuwapo kwa msanii Matonya, ambaye hata hivyo mtandao wa Lady Jay Dee ulitoa hadharani kuwa mwanamuziki huyo ameshachukua ‘advance’ ya shoo hiyo na wazee wa ‘kuingilia logik’ wameshamtisha Matonya ili ajitoe, lakini akiwa ameshatafuna pesa ya watu.

TUKIO LA BOMU ARUSHA LATUA UN

Category : 0


Askofu Chullikatt 
Dar es Salaam. Tukio la kutupwa bomu katika Kanisa Katoliki la Joseph Mfanyakazi, Arusha limetua katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) baada ya kuwasilishwa na Balozi wa Vatican UN, Askofu Mkuu Frances Chullikatt.
Askofu Chullikatt anakuwa kiongozi wa kwanza wa Vatican kutoa tamko kuhusiana na shambulizi hilo ambalo mmoja wa viongozi wake alikuwapo.
Bomu hilo lilirushwa katika kanisa hilo wakati likizinduliwa na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Padilla Mei 5, mwaka huu na kusababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi zaidi ya 50.
Wakati wa shambulizi hilo, Askofu Padilla na Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha, Josephat Lebulu walionusurika.
Akihutubia Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, New York, Marekani juzi, Askofu Chullikatt alisema tukio lililotokea Arusha linadhihirisha kuwa kuna umuhimu ya kupambana na ugaidi katika Afrika ili kuimarisha amani na usalama wa kimataifa.
“Unahitajika mshikamano na ushirikiano wa pamoja wa mataifa mbalimbali katika kuchukua hatua za maisha na kulinda haki za binadamu,” alisema Askofu Chullikatt, ambaye amekuwa mwakilishi wa Vatican kwenye Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2010.
Askofu Chullikatt, ambaye ni mzaliwa wa India, alisema suala la ugaidi linahitaji kuzuiwa duniani kote na hasa Afrika kutokana na matukio hayo kuharibu maisha ya binadamu na kutokea katika maeneo wanayofanyia ibada.
Askofu Chullikatt alisema pale ugaidi unapofanyika kwa kutumia dini, waumini na viongozi wao ni lazima wahakikishe wanapambana nao ili kuutokomeza.
Alisema suala la ugaidi linahitaji viongozi wa kisiasa, kijamii na kidini kulilaani kwani ni la kikatili katika maisha ya binadamu hivyo si vyema kukaa kimya suala hilo linapotokea.
Askofu Chullikatt alisema ugaidi unaotokea Afrika unatakiwa kuangaliwa kimataifa ili kuzipa uwezo nchi hizo kupambana na kuzuia matukio hayo.
Shambulio la bomu dhidi ya kanisa la Arusha lilikuwa tukio la pili la ugaidi uliolenga kushambulia wageni nchini.
Mara ya kwanza ilitokea mwaka 1998, wakati Ubalozi wa Marekani nchini ulipolipuliwa kwa bomu na kusababisha vifo vya watu kumi na moja huku 85 wakijeruhiwa.

HII NDIYO HISTORIA AMBAYO CHELSEA IMEWEKA KATIKA SOKA

May 16, 2013 Category : 0


 

Goli la dakika za nyongeza kutoka kwa Branislav Ivanovic limeisaidia Chelsea kuwa klabu ya kwanza ya Uingereza, kushinda mataji yote matatu makubwa ya UEFA, baada ya kuishinda Benfica kwa magoli 2-1 katika fainali za Ligi ya Europa mjini Amsterdam usiku wa kuamkia leo.
 Branislav Ivanovic akishangilia baada ya kuitandika bao Benfica.
 

"BATTLE OF THE YEAR" NEW CHRIS BROWN MOVIE..

Category : 0


KIBONZO CHA SIKU.

Category : 0

MANUSURA ALIISHI KWA BISKUTI NA MAJI SIKU 17.

Category : 0



Manusura wa jengo lililoporomoka nchini Bangladesh, Reshma Begum akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa jeshi kwenye hospitali ya jeshi mjini Dhaka, Bangladesh  baada ya kuokolewa na kupatiwa huduma ya kwanza, ambapo alieleza namna alivyonusurika. 
DHAKA, Bangladesh Msichana aliyenusurika baada ya kuishi kwa siku 17 chini ya kifusi cha ghorofa lililoporomoka mjini Dhaka, Bangladesh, amesema biskuti alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa akiwa kazini ndizo zilimnusuru kufa kwa njaa.
Reshma Begum aliishangaza dunia baada ya kuokolewa chini ya kifusi cha jengo hilo, lililoporomoka Aprili 24, mwaka huu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000.watu zaidi ya 2,500 waliokolewa kati ya watu zaidi ya 3,000 ambao walikuwa wakifanya kazi ndani ya jengo hilo la ghorofa nane.

CCM YAMTAJA ATAKAYEWANIA UBUNGE JIMBO LA CHAMBANI

May 15, 2013 Category : 0





Dodoma. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeteua na kupitisha jina la Mattar Sarahan Said kuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Chambani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Uchaguzi wa jimbo hilo unafanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge, Salim Hemed Khamis (CUF) aliyefariki Machi 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam wakati akihudhuria moja ya vikao vya Kamati za Bunge.
Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Waride Bakari Jabu alisema Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar ilikutana mwishoni mwa wiki na ilipendekeza majina mawili likiwamo hilo la Mattar na kuwasilisha kwa Kamati Kuu ya CCM.
Kamati hiyo ilipitisha uteuzi huo katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Dodoma jana chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete.
Katika kikao hicho, pia imemteua Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Balozi Seif Idd kuzindua kampeni hizo,
Mei 18 mwaka huu wakati naye Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi atafunga kampeni hizo kabla ya uchaguzi Juni 6.

FLAVIANA MATATA FOR TRUWORTHS SOUTH AFRICA

Category : 0


 

Tanzanian supermodel Flaviana Matata has just done it again this time for TRUWORTHS South Africa. Keep it up Girl, It’s your time. Mo Blog we are proud of you.

THIS IS ANGELINA JOLIE AFTER REMOVING HER BREAST OVER FEAR OF CANCER.

0


 

From what she has to say, the risk of her contacting breast cancer was too high and not only is it a disease that troubles her family, same breast cancer was what took the life of her mother at age 56 after which she had battled with it for years, she writes that between early February and late April 2013 she completed three months of surgical procedures to remove both breasts and from what doctors and other medical practitioners have to say, she is now on the save side.
Angelina Jolie bravely reveals she has had a preventive double mastectomy after tests showed an 87% chance of contracting breast cancer.
 
The Hollywood actress is healthy and made the decision to undergo the procedure after discovering she carries the BRCA1 cancer gene.
 
In an open piece written titled ‘My Medical Choice’ in the New York Times today, the 37-year-old – whose mother Marcheline Bertrand died at the age of 56 from ovarian cancer – told how she has a 50% chance of contracting.
 
Angelina said: 

NAFASI ZA KAZI AKIBA COMMERCIAL BANK PLC

Category : 0


Bank Tellers
AKIBA Commercial Bank PLC

Date Listed: May 15, 2013
Phone: No Phone Calls
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: May 24, 2013

Position Description:
From The Guardian May 15, 2013
AKIBA Commercial Bank PLC, a leading bank in micro finance; is currently recruiting suitably qualified Tanzanians to join its workforce in the following positions
The position reports to the Supervisor, Cash and Customer Service, and carries out the following responsibilities:-
Providing quality service to Customers and managing Customer expectations.
Responsible for managing potential risks.
Buying and selling foreign currencies for the Bank.
Receiving and counting cash and entering details thereof in the cash balance form.
Receiving cheques and cash for deposit to customers' accounts. Making sure that cash withdrawals by customers are counted and posted properly.
Any other relevant duties to be assigned by the supervisor
Qualification and Experience
University Degree/ Advanced Diploma majoring in accounting, Banking, Marketing, Business Administration, Agriculture or its equivalent.
A minimum of upper second class.
Must have scored Division Two or above at '0' level secondary examinations and 'A' level secondary examinations.
Passes in Mathematics at '0' level and 'A' level is a must. Fresh Graduate but having experience in banking sector is an added advantage.
General Terms and Conditions of Services
The above positions carry competitive pay and benefit packages commensurate with a successful candidate's academic and professional qualifications.
ACB is an equal opportunity employer.
Reliable reference is a must.


Application Instructions:

THE SONG'S THAT I LOVE..

May 14, 2013 Category : 0


THIS IS VICTORIA BECKHAM THE FASHION WORLD RULER.

Category : 0


Its but a fact that the awe-inspiring personality, Victoria Beckham, former Spice Girl, belongs to the category of the been-there-done-thats. She has seen many facets of life, first as a pop singer – her greatest achievement being: reaching Number 2 in the UK Singles Chart, a renowned model and trendsetter, as a fashion designer, and successfull businesswoman, not forgetting her avatar as an adorable mother! Victoria has had her taste of success in each of her endeavors and she continues to rise up, adding achievements after achievements to her kitty.
Success began kissing Victoria’s feet from the late 1990’s when she first emerged as a pop singer with the all-female pop group – Spice Girls. Since then, even though she has seen high and lows in her career, Victoria has made it large. She has grown to be one of the widely acclaimed luxury icons, which is why she is one among the best celebrities we’d like to know a bit more!
Can you fathom that Victoria had problems getting the press to notice her? Well, as she puts it, her entry into the fashion industry required her to try harder to get into the spotlight.
And once she did, she has never left it, accumulating fame after fame, and growing to be one of the most sought after fashion designers, where even rulers from Dubai offer her millions to design!
Victoria also has a number of designer lines to her credit. Starting from shoes, and handbags, to a clothing linesunglasses and even optical frame!

LWAKATARE KUSOTA RUMANDE HADI MEI 27

Category : 0

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana,

Dar es Salaaam. Jitihada za mawakili wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare, kumchomoa mahabusu, jana ziligonga mwamba na sasa atalazimika kuendelea kusota mahabusu hadi Mei 27 mwaka huu.
Mawakili hao wa Lwakatare jana waliiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, impatie dhamana, Lwakatare baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kumfutia, mashtaka ya ugaidi yaliyokuwa yakimkabili yeye na mwenzake Joseph Ludovick Rwezaura, ambayo hayana dhamana.
Juzi mmoja wa mawakili hao, Peter Kibatala aliliambia gazeti hili kuwa walikuwa wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha kuwa wangeweza kumtoa kwa dhamana kwa kuwa walikuwa tayari wamekamilisha masharti ya dhamana.
Hata hivyo, jitihada zao ziligonga mwamba kufuatia kitendo cha hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Aloyce Katemana, kutokuwapo mahakamani na hivyo kusababisha kesi hiyo kuahirishwa hadi Mei 27.
Mapema, Wakili Mkuu wa Serikali, Prudence Rweyongeza aliieleza mahakama kuwa kesi hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya kutajwa na kuomba ipangiwe siku nyingine ya kutajwa.
Hata hivyo, Wakili Kibatala aliiomba mahakama impe dhamana Lwakatare huku akirejea uamuzi wa Mahakama Kuu, kuwafutia mashtaka ya ugaidi na kubakiwa na shtaka la kula njama ambalo kisheria linadhaminika.
“Pamoja na kwamba hakimu mhusika hayupo, lakini tunaomba dhamana kwa kuwa tunaamini kuwa mahakama yako inaweza kutoa dhamana kwa kuzingatia kuwa dhamana ni haki na hasa kwa kuzingatia kuwa amekaa mahabusu kwa muda mrefu na afya yake (Lwakatare) si nzuri,”alidai Wakili Kibatala.
Hata hivyo, Wakili Rweyongeza alipinga maombi hayo ya dhamana akidai kuwa yametolewa nje ya muda kwa mujibu wa taratibu.
Pia alidai kuwa uamuzi wa mahakama unaanza baada ya mkurugenzi wa mashtaka, kuwasilisha maelezo ya kesi.
Wakili Kibatala alipangua hoja hizo akidai kuwa hoja za Wakili Rweyongeza zinalenga katika kuondoa haki ya dhamana na kwamba hakuna pingamizi lolote la kisheria.
Huku akitoa mifano ya kesi kadhaa wakili huyo alisisitiza kuwa hata katika hatua hiyo mahakama inaweza kutoa dhamana wakati taratibu nyingine zikiendelea.
Hata hivyo, Hakimu Sundi Fimbo alisema kwa kuwa yeye si hakimu anayesikiliza kesi hiyo hawezi kuamua lolote na kwamba anachokifanya ni kurekodi hoja za pande zote kwenye jalada la kesi.

KIBONZO CHA SIKU

Category : 0


MTUHUMIWA WA MABOMU ARUSHA ASOMEWA MASHTAKA 21

Category : 0

Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph,Parokia ya Olasiti ,Jimbo Kuu la Arusha,Victor Ambrose Calist akiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha baada ya kusomewa mashtaka 21 ya kuua na kujaribu kuua.


Arusha. Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni kuhusiana mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Arusha na kusomewa mashtaka 21 yakiwamo ya mauaji na kujaribu kuua.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Kamuzora, mtuhumiwa huyo, Victor Ambrose (20), dereva wa Bodaboda na mkazi wa eneo la Kwa Mromboo, Arusha alisomewa mashtaka hayo yakiwamo matatu ya mauaji ya watu watatu waliofariki katika tukio hilo lililotokea Mei 5, mwaka huu.
Wakisoma kwa kupokezana hati ya mashtaka, Mawakili wa Serikali, Zachariah Elisaria na Haruna Matagane walidai Calist pia anatuhumiwa kwa makosa 18 ya kujaribu kuua.
Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kimyakimya akiwa chini ya ulinzi wa maofisa wa polisi na hakutakiwa kujibu lolote kwa sababu mashtaka yanayomkabili yanapaswa kusikilizwa na Mahakama Kuu.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 27, mwaka huu itakapotajwa tena na mtuhumiwa amerudishwa mahabusu.
Saa moja kabla ya Ambroce kupandishwa kizimbani saa nne asubuhi, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas aliitisha mkutano na waandishi wa habari kitendo ambacho kiliwafanya baadhi yao kushindwa kufuatilia vyema tukio hilo.
Waarabu waachiwa huru

CHANJO YA UKIMWI YAGUNDULIKA;

May 12, 2013 Category : 0



'Ugunduzi huu ni ukombozi katika kuharakisha kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi' Dk Seif Rashid 
Wanasayansi nchini Marekani wamebaini kifaa kipya kitakachoharakisha upatikanaji wa chanjo ya virusi vya Ukimwi (VVU).
Taarifa kwa Mwananchi Jumapili iliyotolewa Alhamisi wiki hii na Taasisi ya Tafiti Kukabiliana na Magonjwa ya Mzio na Kuambukiza (NIAID) ya nchini Marekani ilieleza kuwa mfumo wa kifaa hicho siyo tu utasaidia kurahisisha chanjo kukabiliana na VVU, bali hata kwa magonjwa mengine yanayosababishwa na virusi kama mafua na yale yanayosababisha uvimbe wa ini.
“Ni mfumo wa hali ya juu wenye uwezo wa haraka wa kuchambua chembechembe kinga zenye uwezo wa kuangamiza aina mbalimbali za VVU zinazopatikana duniani,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.
Taarifa hiyo iliyoambatanisha majina ya wanasayansi nguli wa NIAID ambao wamethibitisha kifaa hicho chenye mfumo mpya katika teknolojia ya kuchambua VVU, umeweka wazi kuwa matatizo waliyokuwa wakipata wanasayansi katika kudhibiti virusi sasa imepata ufumbuzi.
Uzuri wa kifaa hicho unaelezwa kwamba ni kuweza kuchambua na kutofautisha chembe kinga za aina mbalimbali, hata kujua idadi na uwezo wake katika kushambulia adui katika mwili wa binadamu.
“Uchambuzi wa kifaa hiki unaweza kutumika kuchunguza namna mwili wa binadamu unavyoweza kukabili maradhi mengine yanayosababishwa na virusi kama vile mafua na uvimbe wa ini,” anaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Wanasayansi nguli wa NIAID waliothibitisha uwezo wa kifaa hicho ni Mtaalamu wa Dawa na Mifumo ya Kibiolojia, ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Chanjo, Profesa Peter Kwong na Mkuu wa Idara ya Kinga, Profesa John Mascola.
Wataalamu hao wanaeleza kuwa kifaa hicho kina uwezo wa kutofautisha ni chembechembe gani za kinga zenye uwezo wa juu katika kukabili virusi vya maradhi.
Kupitia njia hiyo, inaelezwa kuwa ni rahisi kubaini chanjo yenye nguvu, hivyo kuharakisha upatikanaji wa chanjo itakayothibitishwa kukabiliana na VVU.
Kulingana na teknolojia na tafiti mbalimbali, VVU bado hajaipata tiba au chanjo madhubuti, ingawa wameweza kupata dawa zenye uwezo mkubwa wa kupunguza makali ya virusi hivyo (ARVs).
Hadi sasa tafiti mbalimbali zimeonyesha uwezekano wa kupatikana tiba na chanjo katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

NAFASI ZA KAZI BBC MEDIA ACTION

Category : 0


Finance Assistant
BBC Media Action

Date Listed: May 9, 2013
Email Address: Click to Email
Phone: No Phone Calls
Area: Tanzania
Application Deadline: Jun 17, 2013


Position Description:
From The Guardian May 8, 2013
BBC Media Action is the BBC's international charity. We believe in the power of media and communication to help reduce poverty and support people in understanding their rights. Our aim is to inform, connect and empower people around the world. We are now recruiting for the following positions in Tanzania:
Job Descriptions
 An accountant with at least two years' experience and registered as a member of NBAA, the Finance Assistant will be responsible to support the finance function of BBC Media Action in Tanzania including maintaining supplier's accounts, process supplier's invoices, and process payment vouchers, issue checks for all accounts due, maintaining finance filing system and managing petty cash.


Application Instructions: